INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY
Haha Mbiu Ya Mgambo Ikilia Jua Kuna Jambo Sixteen Bar, Just For The Record........... Chorus I Am The Swagga Boy (Swa)*2 Swagga Boy *8 Verse 1 Sijaona Shakespare Akibonga Kiswahili Kuna Vile Number Nane Yoh Ukuwa Zero Mbili Na Wengine Hawana Majina Ndio Bibi Hatishiki Camp Ya Pesa Bila Pesa? Hey Think Twice Majina Zingine Ni Za Ex - Still Static Na Zingine Mafans Hushangaa Hii Ndo Nini Sitaguza Juliani Juu Nadai Kuoka Emmy Daughter Wa Pastor Kuna Vile Namwesimu I Am As Swagged As Swagga, Na Swagga Ndio Mimi Sibishani Nanyi Mie Najua Niko Fiti Mafans Washasema Wako Nami Kama Dini Hawachoki Hawatoki, Utafanya Nini? Hold Ma Present I Define Ma Future I Live Ma Dream And That's Ma Nature Ku Meet Obstacles? Oh Yeh Ma Pleasure Na Kama Nimekukanyanga, Nasema Pole Chorus Asiye Skia La Mkuu Huvunjika Guu Na Asiye Skia La Mafans Basi Ataanguka Flat Kubehave Kama Doggy, Kubweka Mob Na Mkia Wapi? Katikati Ya Miguu Ndiyo Hawawezi Nipa Chance, (Nicompete)*2 Na Hao Mabeast Coz They Know, Ye...