INFLUX SWAGGA - HITBACK LYRICS

Artist: Influx swagga
Song : Hit Back
Album : Last Episode
Year : 2011
Producer : Keygun
Record Label : Sonic Sounds
Recording, Mixing & digital mastering by Sonic Sounds kenya
Analog Mastering by Murder One, Melbourne, Australia.


Intro
Nipe MIC *2 agrrrrr Nipe MIC....
chorus
(Acha nao)*3 waseme,
Wambie wafanye kitu pia sisi tuone,
Tudraw hii line tukiwapiga punchline,
If you can hit back dare me hit back *2
Verse 1
Kuna difference kubwa ukiroll na TukTuk
Nikiroll na BM juu namake ma billion,
Kuna difference kubwa ukirule tely yako
Nikirule TV station na ma FM
Yangu ni kipaji si bahati kama kuzaliwa ijumaa,
Ama kucommit sin Ukiwa ndani ya church (tubu mara dat dat)
Ama kuiba polisi,(cell hiko papo hapo) si mnanihisi?
Najua mafala hawashiki Simple language serious,
Nilizaliwa genius juu mathee ni  generous,
Na nikiget Furious mie ukuwa mdangerous
Style ya davious akido goliath sema Influxious anado?
chorus
verse 2
Nikianza verse ya pili nawapea onyo kali
Let kings Reign, madharau sikubali
Kama ni kali ni kali bila hata tafadhali
Ndani yangu Kuna nini? Enda uliza mamanzi,
Na usisahau kuliza sistako na si vako
Before ufike mahali niko nakupea options
Labda ushike wasee ghetta
Ama usake dame ya kidosi aku? hahaha
Leo ni leo aliyekuambia ni kesho alikudanganya
Dj akikumix na mie nakuchanganya
Influx msanii ninazidi wa silaha
Ndani ya club ninafaa na sanaa inapaa
chorus
verse 3
Niko elastic dynamic ndo' Maana tunapanda
wengine wakitupinga zile mateke za punda
siwezi mind juu najua watabaki waki wonder
Nilipita shimo gani? mafans walikubali
wakifika wakidhani wao ndo' wa kwanza
wanapata nilifika na nikapumzika
asiye kubali kushindwa ye si mshindani
na mchagua jembe? ye si mkulima
say what you wanna about me "yes i care less"
Get me right sijasema " niko careless"
Nitafune tafune lakini usinimeze
niko toxic nitalipuka na matumbo uishe.
chorus *2
Outro
I'm out of the studio
every body cherio
Tukatane kwa radio
Nikifanya Intervio...



Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

JULIANI - UTAWALA LYRICS