JULIANI - EXPONENTIAL POTENTIAL LYRICS

Milioni from ten bob,nili toa wapi extra zeros
Jiulize mbona doughnut ina shimo,

shingo short cut ya mfuko

Doo ni legal,dish kwa roof top sio ya Dstv, yakuomba dish distinct

Vampire vegetarian ,white heads,non believers,
wanatuita high class
Soma colle juu ya night club,

Result slip hai determine pay slip

Toka niwe foetus, mpaka penye nimefika, God fingers, imemove strings

Walitutharau …ha ha ha
Who is Laughing now,exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu
Who’s laughing now..ha ha ha
Nasema ha ha ha ,who’s laughing now
Exponential potential,achana nao

Toka kitambo nimekuwa photogenic ,
wazazi waliinsist na story ya photosynthesis

Nani hajui udaktari  si lazima uwe mwerevu,
kwa karatasi ya dawa hawamalizangi hesabu

Ocampo ananeed more ink, more pages, jina zi fit kwa list
Si exaggerate ka kufunika puncture na bandage

Ndovu haiezi hata ngumi ya mosquito

Mimi  si muimportant ,bila mimi mama mboga hata hana customer
Ngumu kwangu, kizungu fluent,but hauwezi command umati na influence


CHORUS:
Kuku yangu inalia ina swine flu iliponiona nikinoa kisu

Nilikaribisha iliassume ni pet si food,Homa ina funika nostrils
Coincidentally anapika sea food, akithania si nusii harufu,
uchoyo hainanga karibu

Msoto ikiknock door, niko like: “You look familiar have we met before ?”

Kuku ina idle nje kenchic, ni death pending

Hardwork  u get the best out of life,get saved u ,get the best out of death

Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

JULIANI - UTAWALA LYRICS