INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

Haha
Mbiu Ya Mgambo Ikilia Jua Kuna Jambo
Sixteen Bar, Just For The Record...........
Chorus
I Am The Swagga Boy (Swa)*2 Swagga Boy *8
Verse 1
Sijaona Shakespare Akibonga Kiswahili
Kuna Vile Number Nane Yoh Ukuwa Zero Mbili
Na Wengine Hawana Majina Ndio Bibi Hatishiki
Camp Ya Pesa Bila Pesa? Hey Think Twice
Majina Zingine Ni Za Ex - Still Static
Na Zingine Mafans Hushangaa Hii Ndo Nini
Sitaguza Juliani Juu Nadai Kuoka
Emmy Daughter Wa Pastor Kuna Vile Namwesimu
I Am As Swagged As Swagga, Na Swagga Ndio Mimi
Sibishani Nanyi Mie Najua Niko Fiti
Mafans Washasema Wako Nami Kama Dini
Hawachoki Hawatoki, Utafanya Nini?
Hold Ma Present I Define Ma Future
I Live Ma Dream And That's Ma Nature
Ku Meet Obstacles? Oh Yeh Ma Pleasure
Na Kama Nimekukanyanga, Nasema Pole
Chorus
Asiye Skia La Mkuu Huvunjika Guu
Na Asiye Skia La Mafans Basi Ataanguka Flat
Kubehave Kama Doggy, Kubweka Mob
Na Mkia Wapi? Katikati Ya Miguu
Ndiyo Hawawezi Nipa Chance,
(Nicompete)*2 Na Hao Mabeast
Coz They Know, Yes They Know I Am The Best
Uliza Keygun Hata Masimu Tulizima
Si Unajua Baba Yao? Mie Ndiye Babu Yao
Nimeset Mpaka Future Kuna Vile Siwezi Isha
Ufala Ya Kufunga Mlango Wa Success Ndio Ulizwe
Utafungua Ingine Bwaku, Ufukuzwe
CCK Walizima Made In China
Wakacreate Employment Maid In Nairobi
I Dont Need Money, I Dont Need Cash
Unataka Answer, I Am Rich And Famous
Chorus *2
Influxswagga.Com
I Am The Best Yoh
Kufanya Justice Bila Hata Practice
Hahaha

DOWNLOAD THE SONG VIA   http://soundcloud.com/influxswagga/swagga-boy

Twitter @Influxswagga

Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

JULIANI - UTAWALA LYRICS