INFLUX SWAGGA - HII MZIKI LYRICS

influxswagga.com


ARTIST: Influx Swagga
SONG: Hii mziki
ALBUM; Wazito

YEAR: 2012
LANGUAGE: Swahili

INTRO:
Influx Swaggaaaaa…
Mtu wangu… Mtu wangu….
Sit Back... Relax…. Influxswagga.com

VERSE 1 LYRICS:
Si Ni watu wazima kukosana juu ya dough?
Juu ya dame? May be fame tia siasa zi…
Itakuwa shame, mafans wakitublame
Na sisi ni big name twaweza kula top cream
Sikujua naeza kuwa star all of a sudden
Nikajua hii si mchezo yaani pia ni burden
Kuwa exposed juu kitambo nilikuwa hidden
Chini ya maji upside down nilikuwa bed ridden
Sikatai mie ni mtoi na sitakuwa mpole
Mbuyu ukishindwa songa nipe nafasi na usare
Nina tactic noma, mahatters kuwaignore
Nikipanda wanabaki huko chini wakisnore

CHORUS LYRICS:
(Hii mziki nafanyia justice bila hata…
(Hii)*3 hii mzi…..)*3 hii mziki
Hii mziki nafanyia justice bila hata practice
(Hii)*3 hii mzi…..)*3) *2

VERSE 2 LYRICS:
Do you know that star far above the limits?
The only star far above the heavens
Don’t mind the clouds, I am beyond the sky
I can’t just crawl I was made to fly
Nashukuru mafans kwa kunishikilia
Kunitetea kunisuport bila kunipimia
Nikubali mashtaka ya kutokelezea
Niwashow sina nia ya kupotelezea
Hii life mtu wangu tuna ng’ang’ania
Future ya industry, tumeshikilia
Vitisho za PLO tulisare bro
Ligi kubwa tunacheza ni game ya mapro

CHORUS LYRICS:
(Hii mziki nafanyia justice bila hata…
(Hii)*3 hii mzi…..)*3 hii mziki
Hii mziki nafanyia justice bila hata practice
(Hii)*3 hii mzi…..)*3) *2

PRE VERSE:
Ujinga ni… eh eh... ujanja ni…. Ujanja ni… Ujanja ni…

VERSE 3 LYRICS:
Kucast Lilian Muli kwa fat possible
Ama kuburst Ciku... hii ni uchizi
Ndoto za kutembea na kina wizzy
Kufulfil mtu wangu niko busy
Wengi wenu walisema eti nimechizi
Nikalisha nikavisha nah hii mziki
Na wengine kusema naride fame yao
Album ni ya tano wazito kwao
Hakuna mtu anajua labda mola ndo anaelewa
Nimetoka wapi, nimepita wapi
Pia mie sijui usiniulize basi
Kwenye niko sure ni hii…. Hii… hiii

CHORUS LYRICS:
(Hii mziki nafanyia justice bila hata…
(Hii)*3 hii mzi…..)*3 hii mziki
Hii mziki nafanyia justice bila hata practice
(Hii)*3 hii mzi…..)*3) *2

Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

JULIANI - UTAWALA LYRICS