Nadia Mukami - Maombi song Lyrics

Nadia.... 
(Hoyah hoyah hoyah) 
(Hoyah hoyah hoyah) 
Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha 
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba 
Hao binadamu walinipa wiki 
Sasa imepita miaka bado wanasubiri 

Kazi ya Mungu haina makosa 
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa 

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi 
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi  
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi 
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi  

Hoya hoya,hoyaaah 

Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee 
Ila Mungu hawezi kubali uangukee, 
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha  weeeh 

Kazi ya Mungu haina makosa 
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa 

Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi 
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi  
Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi 
Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi  

Si uchawii weeeh 
Si uleviii eeeh 
Si kwa nguvu zangu mieee 
Si KaNadia katambeeeee

Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

JULIANI - UTAWALA LYRICS