RABBIT - LAST HOPE LYRICS
Chorus
(Adreena )
I gotta make it out, or move quickly
Can't allow the past to restrict me
Bet this time around they won't skip me
I am the last hope (Kaka)
Won't hesitate not even for a second
The hustle has become an obsession
I'm on the frontlines with my weapon
I am the last hope
Verse 1
Nikitoa mangoma na ma video sikuexpect wanisifu/
juu nina lines mob Zebra mia moja zinanionea wivu/
ile kucheq health, nalipa kuona Dokte/
ile kucheck mgreat wanalipa kuniona on stage/
hawaget kile nasema nika bubu anapiga story/
Mungu alishaniandalia, sahii natafuna Glory/
kamba za Eastlando zilinifanya niwe Pusher/
form 2 niliuza bangi, thank God sikuivuta
si kucheza na cutlery, nimedungwa daga mara mbili/
si duvet comfy, nimelala ndani mara mingi/
so wewe ukienda gym daily, mimi niliunga akili/
na ni ngumu kuwa mimi, ata mniiibe shairi/
nilikiss mpaka nyuki kuonyesha mimi ni sugu/
nayo nikalearn msemo ya nyuki hapigwi busu/
hizi machozi za umaskini zitanitoa uhai/
nataka kulia zile za the rich also cry/
mimi ndio last hope!
chorus
Verse 2
Rabbit last man standing, flow ya after Plumbing/
Watoi uniita Kaka, wasanii uniita Mfalme/
endeleeni kuspend ganji sahizo naspend nights kwa studio/
Silence is defeat, siwaskii kwa hivyo/
....................................................../
sazile nakemewa na waerevu, we unasifiwa na wajinga/
kaa si kivuli yangu nani wa kwanza kunipinga/
ka unahisi naleta joto, usingoje nipunguze/
ni yule jamaa wa sory moto ka za nyani na kundule/
moto moto ka Ray C na French boy wa!
Bonjour wi wi l'Etat c'est moi/
nilitoka home na ndoto na 78 shillings/
zile wazungu huita 'A dollar and a dream'/
niko undisputed kishairi, sahii naishi hiyo ndoto/
makao yangu ni mziki, ata kobe huishi kwa mgongo/
niko peke peke, competition hajazaliwa/
The Last Hope
The Last Hope Video : http://www.youtube.com/watch?v=ohdJmItlEuA