TBROZ LYRICS- TUPANGE

Song: Tupange
Year: 2012
Language: Kiswahili

Twitter @Tbrozkenya
VERSE 1 LYRICS:
Kinyanjui, Omondi naskia wote ni wako,
Zubeda, Akinyi na Kanini wote ni wako,
Angalia uwezo na uwache wako mchezo,
Protection iko kama wewe brake haziko,
Kuzaazaa kila saa kimzahamzaha, ebu anza kupanga wacha mzaha…

CHORUS LYRICS:
Napasha habari waKenya aaah (tupange), Afrika yote kwa jumla aaah
(tupange)
Vijana, wamama na baba aaah (tupange), kila mtu aliye kwa ndoa
(tupange)
(Tupange tupange tupange tupange eeeh) x4
(Tupange familia aaah) x4

VERSE 2 LYRICS:
If you need some expertise, enda kliniki, maposta zimejaa kila
mahali,
Matangazo kila siku kwenye radio, Tv station, magazeti hata kwa
nyimbo,
(Abortion is a crime and a misuse of your dime,
You’re risking your dear life or you stay without a child…)x2
(Chorus)

BRIDGE LYRICS:
Ye lelele ye lelele leleee…(x2)
Tupange family tumalize umaskini, tupange family ndio tulee kwa
urahisi,
Ye lelele ye lelele leleee…(x2)
Uwe kaka au daddy, uwe dada au mummy, tuje wote mpangoni, leo ni
leo,
Ye lelele ye lelele leleee…(x2)

CHORUS LYRICS:
Napasha habari waKenya aaah (tupange), Afrika yote kwa jumla aaah
(tupange)
Vijana, wamama na baba aaah (tupange), kila mtu aliye kwa ndoa
(tupange)
(Tupange tupange tupange tupange eeeh) x4
(Tupange familia aaah) x4

Popular posts from this blog

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

INFLUX SWAGGA LYRICS - SWAGGA BOY

JULIANI - UTAWALA LYRICS