TBROZ KENYA - HAKI YANGU LYRICS
TbrozKenya |
SONG; Haki yangu
ALBUM; Hatua
RELEASE
tbrozkenya.blogspot.com
Intro
Lalalala x2
Lalaa lalaa
Chorus
Wakati ni sasa, nipe haki yangu,
Sitaki siasa, nipe haki yangu,
Niwe mnene niwe mkonde, nipe haki yangu,
Niwe mpole niwe mnyonge, nipe haki yangu
Verse 1
Paparazzi amenipata live nikihug my siz,
na ameenda kupublish she’s ma wife kwa magazine,
Nimefanya kazi yangu mdosi naye hanilipi, promoter amenihepa nikipiga simu yake hashiki,
Rafiki kule nyumbani, ako busy na wangu darling, na tena kwangu kejani,
Amani niipate wapi? Nashindwa nimwamini nani! Na niko nchini yangu yaani iiiiii…
(Chorus)
Verse 2
(Halo) x2
(Halo baby tulia niko kwa jam nakam)
Anansema yuko stuck kwa jam eti anakam, kumbe naye yuko kwa sugar mum akipata tam,
Sijabea excess njiani na karao anadai zake kiasi,
bibi naye amewaka moto sijapata chakula ya mtoto,
Kipofu ampewa bibi, mwingine siku ya harusi kinyume na nilivyotarajiiii,
Amelata mchezo kazini, sabubu ni wangu cousin,
Amesahau akihata kazi atarudi tena kwa dhikiii
(Chorus)
Bridge
Maisha ninayotamani, kuishi vyema kwa amani,
Adui wangu rafiki, kila mtu ni mnafiki,
Maisha ninayotamani, kuishi vyema kwa amani,
Mungu wangu ndiye rafiki, kila mtu ni mnafiki
(Chorus)
Wakati ni sasa, nipe haki yangu,
Sitaki siasa, nipe haki yangu,
Niwe mnene niwe mkonde, nipe haki yangu,
Niwe mpole niwe mnyonge, nipe haki yangu