RABBIT KAKA SUNGURA - SWAHILI SHAKESPEARE (FROM THE MIXTAPE 'THE LAST KING OF...') LYRICS
ARTIST: Rabbit - Kaka Sungura
SONG: Swahili Shakespeare
PRODUCED BY: Sappy, KAKA EMPIRE
ALBUM: The Last King Of... (Mixtape)
LANGUAGE: Swahili
O.K
Bad times ziukuja na believe me bila warnings/
so najipanga for the weather, jua tua ya jioni/
wanashanga vile niko kaa mlevi anastagga but on a tight rope/
comments kwa wall mahali naperform wanadai mi nimDope/
wakizidi kuongea chafu waambie waswallow soap/
streets is talking, unabelieve in corridors?
leo so much love, kesho hawakufahamu - Horrible/
but i guess ni kama relationships/
mi upatana na X's tukiwa na Y's tukienda ma Z Z z/
nina apeal ya uPunk but ghetto kaa Moha na Linda
hauamini Spider-Webs zikishikana zinaweza funga Simba/
nawaconfiscate hao bado wanajicomplicate, nakeep it simpler/
bado wananiita kwa ofisi, wananistudy hawa maDean/
paper yangu inaMarkiwa kwa club Hassan akispin/
PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!
ati niukate ndio waAuction recordings zangu na Desk pia/
little things ufurahisha tiny minds, talk huwa haipiki rice, huyu boy niMnice!
Mic check 1 2, 1 2 Testing/
nilikosa kicks na snares, misfortunes ni Blessings/
ata wakinikazia nauzwa kwa streets kaa drugs Taboo/
fake friends bado wanaitikia, wale real wanaArgue/
nikiwa East ni letter ya tano, Westy ni 'W'/
PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!
ata talks zinaendelea vile nafaa kuwekwa kando ya Monument ya Tom Mboya/
hapo hapo Mr. Price, tumeongea na prezzo aliniambia 2 more albums nikishazitoa/
yeah! Rabbit anarule animal kingdom si siri/
apart from Mistari, natema vitu fishy, Veni, Vidi Vicci
ati Swag nikubakisha food ndio itupwe kwa taka/
NKT! FALA! si tukipiane kiuBrotha, uzuri love ni virus inaweza wai msee yeyote/
KAKA SUNGURA LAUNDRY tunableach, ukabila na ufala nitumie Jik au Topex/
PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!
ni poa kubuild bridges than niunde ukuta
NO DUMPING! taka taka bado utupwa/
uzuri God ako kwa team yangu, haujacheki scoring?
ehh nilifunzwa kulala na one eye open/
Pastor analay hands kwa kichwa yako Hopin' utawacha robbin, usaidie city kaa Batman na Robin/
hiyo 3rd Sunday Zaituni akazaa, Asante Mungu/
Grandma amelive tena Aggy, msichana wa nguvu/
Kemp to Yunah Walucho, but you win some na upoteze pale/
mtoi wa Anto Uhunye, na Walach - Ray Mwangale/
Moment of silence.........................................
.............................................................
.............................................................
PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!
make sure mouth yako ni sharp kaa Dagger, na heart ni soft kaa Tofu/
wape hizo ma 'Thank you' whatever they taught you/
iwe kubwa kaa Atlas, au small tu!
mafans wangu mimi huwakumbusha ' I LOVE YOU'
but who ceases to be a friend, we jua was never one/
kila kitu ina urembo wake, si kila mtu ataiona
kula Junk daily, haimaanishi utanona/
maneno ikishatoka kinywani, hauwezi ifuata/
ata na farasi faster, bila nare nawawasha/
si telly wananaswa, aswa nawaBirth wakiwa Tasa!
PRESENT TEACHER, THE SWAHILI SHAKESPEARE!