King Kaka (Kennedy Ombima) - Wajinga Nyinyi lyrics
Wajinga Nyinyi Lyrics – Part One Dear Lord Today I come before you For two things Grateful for keeping me alive Even though unajua my day Na kutupea wakenye Amnesia Asante Sisi ni Vipofu na Viziwi Na tunajua translator wetu alishadedi 2022 already si mnajua nani ni Prezzi Si mnajua nyinyi voters ni washenzi Nyi hamjui mdomo yangu Ilibatizwa na wakongwe So unashangaa akilli zenu time ya kura Zinajaa shonde Na hiyo wiki ndo najua Jirani yangu huwa Mjaka Kamah kumbe huwanga Msapere Hata salamu hatapata Piga tu kura na utalala bila kula A night of tears Nanii skiza na macho na ona na your ears Swali Fununu ni ati system ya education ni ya uduu Is it true that’s why umepeleka mtoi wako akasome majuu While graduates wanashika placards kwa traffic Mtu wa acturial science anataka kujimada its so tragic Swali Ati Waiguru ako kwa office na story ya NYS tulishasahau Biro moja alibuy 8 thao Biro tunanunuanga mbao Either sisi ndio wajinga ama ako na ma...