Posts

King Kaka (Kennedy Ombima) - Wajinga Nyinyi lyrics

Image
Wajinga Nyinyi Lyrics – Part One Dear Lord Today I come before you For two things Grateful for keeping me alive Even though unajua my day Na kutupea wakenye Amnesia Asante Sisi ni Vipofu na Viziwi Na tunajua translator wetu alishadedi 2022 already si mnajua nani ni Prezzi Si mnajua nyinyi voters ni washenzi Nyi hamjui mdomo yangu Ilibatizwa na wakongwe So unashangaa akilli zenu time ya kura Zinajaa shonde Na hiyo wiki ndo najua Jirani yangu huwa Mjaka Kamah kumbe huwanga Msapere Hata salamu hatapata Piga tu kura na utalala bila kula A night of tears Nanii skiza na macho na ona na your ears Swali Fununu ni ati system ya education ni ya uduu Is it true that’s why umepeleka mtoi wako akasome majuu While graduates wanashika placards kwa traffic Mtu wa acturial science anataka kujimada its so tragic Swali Ati Waiguru ako kwa office na story ya NYS tulishasahau Biro moja alibuy 8 thao Biro tunanunuanga mbao Either sisi ndio wajinga ama ako na ma

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

Image
Charles Musyoki KIKUMBI (Kijana) asyaiwe Mwaka wa 1970 utuini wa Ithekethini Kimangu Yatta e Mwana wa Maria na Musee Kikumbi KITUU. Asomeiye Sukulu wa Kaumoni Primary na itina Kaumoni Secondary School. Niwalikile Ikundi Ya Siasa yeetawa Kanu Youth Wing. Auma vau niwalikile ikundi ya Kyanganga Boyz Band yake Peter Muambi lakini  itina wa ivinda ikuvi auma Band isu na alika Kimangu Boyz Band ya Mwana-A-Inyia. Alika Band ya Kimangu niwasenzisye isyitwa kuma "BOY" eetwa Kijana Mwaka wa 1990. Aivika vau niwakunite Masaani(Cassettes) atano ta: Mbingo Ya Musyi, Muoi Danger, Charles Mutiso Rebecca, Kyalo Simba, na Beth Yiungui. Mbingi sya Mbathi ii ainaa na Kyalo Junior na Mbatha Rithi Producer woo ayitwa SUA PRODUCTION. (Mbingi sya Mbathi ii ti aingi masyisi). Mwaka Wa 1991 Kijana Charles Musyoki KIKUMBI niwasyukisye Band ino na akuna Isaani Kwa isyitwa: LEO NI LEO(Volume 1) na Matunda Productions. Mwaka o usu wa 1991 Mwei Wa Ikumi niwakunie Kaseti ingi kwa isyitwa MP

Nadia Mukami - Maombi song Lyrics

Image
Nadia....  (Hoyah hoyah hoyah)  (Hoyah hoyah hoyah)  Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha  Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba  Hao binadamu walinipa wiki  Sasa imepita miaka bado wanasubiri  Kazi ya Mungu haina makosa  Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa  Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Hoya hoya,hoyaaah  Hoya hoya,hoyaaah   Hoya hoya,hoyaaah    Kazi ya Mungu haina makosa  Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa  Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Hoya hoya,hoyaaah  Hoya hoya,hoyaaah   Hoya hoya,hoyaaah    Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee  Ila Mungu hawezi kubali uangukee,  Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha   weeeh  Kazi ya Mungu haina makos

JULIANI - EXPONENTIAL POTENTIAL LYRICS

Image
Milioni from ten bob,nili toa wapi extra zeros Jiulize mbona doughnut ina shimo, shingo short cut ya mfuko Doo ni legal,dish kwa roof top sio ya Dstv, yakuomba dish distinct Vampire vegetarian ,white heads,non believers, wanatuita high class Soma colle juu ya night club, Result slip hai determine pay slip Toka niwe foetus, mpaka penye nimefika, God fingers, imemove strings Walitutharau …ha ha ha Who is Laughing now,exponential potential Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu Who’s laughing now..ha ha ha Nasema ha ha ha ,who’s laughing now Exponential potential,achana nao Toka kitambo nimekuwa photogenic , wazazi waliinsist na story ya photosynthesis Nani hajui udaktari  si lazima uwe mwerevu, kwa karatasi ya dawa hawamalizangi hesabu Ocampo ananeed more ink, more pages, jina zi fit kwa list Si exaggerate ka kufunika puncture na bandage Ndovu haiezi hata ngumi ya mosquito Mimi  si muimportant ,bila mimi mama mboga hata hana customer Ngumu

HUSTLAJAY FT PRUDANCE - MINYORORO YA HAKI LYRICS

chorus:kutufumba macho,kutuziba maskio.. kutufunga nyororo....za ukabila...za ubinafsi...za ufisadi twataka haki zetu...twataka haki zetu..(*2) verse:1 kwa ndimi za kujipendekeza..wamefumbwa macho kwa sera za makaburu nakufungu kwenye jela la utumwa  wasione nuru unyimwa matunda ya uhuru nakutozwa ushuru unyanyaswa japo kipato chao duni cha kuwanusuru na kupotezwa watetezi wa haki kwa kuchomewa nguru ufungwa wasiona hatia waliokufuru uwachwa huru wamejazwa kasumba....na fikra potovu za ukoloni mambo leo pasipo kujali masilahi ula rushwa....wakasign mikataba zikapigwa bei raslimali pasipo kujuzwa unyakuliwa mashamba hati miliki ukabithiwa miamba nakuwachwa masquatter wanauguzwa na makashfa wajenzi wa taifa uti wa mgongo nguzo dhabiti kitega uchumi cha nchi  uchumi umezoroteshwa  common man anastruggle ipate kuimarishwa phylosophy ya mnyonge tumsonge bridge: tukidai haki zetu....fungu tunatozwa....*(2)  ohhh fungu tunatozwa........ verse(2) udai maisha bila elimu  kama kutuanga

JULIANI - UTAWALA LYRICS

Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busa ama kettle ya shisha Mfuko unasikia echo utajua thamani ya mali na size ya kifuli hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for unaeza argue crime doesn't pay lakini huezi dismiss justice ina bei mwizi ana fourty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora waione kwa currency sababu gani siko affected na turbulance nikifly angani nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani CHORUS:Niko njaaa hata siezi karanga                            hoehae shaghala bhaghala niko tayari kulipa gharama                            sitasimamaa maovu yakitawala sitasimama maovu yakitawala                            Ufisadi, ibinafsi ukabila                            kuuza sura wataki kuuza sera                            Undugu nikufaana                             si

TBROZ releases a new Video - Wee Ngolo ft Sue

Image
http://www.twitter.com/TbrozKenya http://www.reverbnation.com/TbrozKenya Tbroz Kenya Music (Mosemigel and Pochris) The Song Wee Ngolo: The slang 'wee ngolo'- (Kamba word- stands for "you are big headed"), is a song that lyrically tells a unique love tale of three individuals webbed in a love triangle. This story is told in a captivating style with a creative twist of romantic conflict. The script unfolds in an entrancing way as the love story is told in a boardroom set up. East Africa, Kenya Urban Music, Latest Video check the big tune below...talk of the tow