Posts

Showing posts from December, 2019

King Kaka (Kennedy Ombima) - Wajinga Nyinyi lyrics

Image
Wajinga Nyinyi Lyrics – Part One Dear Lord Today I come before you For two things Grateful for keeping me alive Even though unajua my day Na kutupea wakenye Amnesia Asante Sisi ni Vipofu na Viziwi Na tunajua translator wetu alishadedi 2022 already si mnajua nani ni Prezzi Si mnajua nyinyi voters ni washenzi Nyi hamjui mdomo yangu Ilibatizwa na wakongwe So unashangaa akilli zenu time ya kura Zinajaa shonde Na hiyo wiki ndo najua Jirani yangu huwa Mjaka Kamah kumbe huwanga Msapere Hata salamu hatapata Piga tu kura na utalala bila kula A night of tears Nanii skiza na macho na ona na your ears Swali Fununu ni ati system ya education ni ya uduu Is it true that’s why umepeleka mtoi wako akasome majuu While graduates wanashika placards kwa traffic Mtu wa acturial science anataka kujimada its so tragic Swali Ati Waiguru ako kwa office na story ya NYS tulishasahau Biro moja alibuy 8 thao Biro tunanunuanga mbao Either sisi ndio wajinga ama ako na ma...

MAISHA NA MIKALO YA CHARLES MUSYOKI KIKUMBI - KIJANA (KIMANGU BOYS BAND)

Image
Charles Musyoki KIKUMBI (Kijana) asyaiwe Mwaka wa 1970 utuini wa Ithekethini Kimangu Yatta e Mwana wa Maria na Musee Kikumbi KITUU. Asomeiye Sukulu wa Kaumoni Primary na itina Kaumoni Secondary School. Niwalikile Ikundi Ya Siasa yeetawa Kanu Youth Wing. Auma vau niwalikile ikundi ya Kyanganga Boyz Band yake Peter Muambi lakini  itina wa ivinda ikuvi auma Band isu na alika Kimangu Boyz Band ya Mwana-A-Inyia. Alika Band ya Kimangu niwasenzisye isyitwa kuma "BOY" eetwa Kijana Mwaka wa 1990. Aivika vau niwakunite Masaani(Cassettes) atano ta: Mbingo Ya Musyi, Muoi Danger, Charles Mutiso Rebecca, Kyalo Simba, na Beth Yiungui. Mbingi sya Mbathi ii ainaa na Kyalo Junior na Mbatha Rithi Producer woo ayitwa SUA PRODUCTION. (Mbingi sya Mbathi ii ti aingi masyisi). Mwaka Wa 1991 Kijana Charles Musyoki KIKUMBI niwasyukisye Band ino na akuna Isaani Kwa isyitwa: LEO NI LEO(Volume 1) na Matunda Productions. Mwaka o usu wa 1991 Mwei Wa Ikumi niwakunie Kaseti ingi kwa isyitwa MP...

Nadia Mukami - Maombi song Lyrics

Image
Nadia....  (Hoyah hoyah hoyah)  (Hoyah hoyah hoyah)  Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha  Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba  Hao binadamu walinipa wiki  Sasa imepita miaka bado wanasubiri  Kazi ya Mungu haina makosa  Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa  Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Hoya hoya,hoyaaah  Hoya hoya,hoyaaah   Hoya hoya,hoyaaah    Kazi ya Mungu haina makosa  Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa  Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Sio juju ni Maombi, ni maombi, ni maombi  Si kelele ni maombi, ni maombi, ni maombi   Hoya hoya,hoyaaah  Hoya hoya,hoyaaah   Hoya hoya,hoyaaah  ...