Song: Tupange Year: 2012 Language: Kiswahili Twitter @Tbrozkenya VERSE 1 LYRICS: Kinyanjui, Omondi naskia wote ni wako, Zubeda, Akinyi na Kanini wote ni wako, Angalia uwezo na uwache wako mchezo, Protection iko kama wewe brake haziko, Kuzaazaa kila saa kimzahamzaha, ebu anza kupanga wacha mzaha… CHORUS LYRICS: Napasha habari waKenya aaah (tupange), Afrika yote kwa jumla aaah (tupange) Vijana, wamama na baba aaah (tupange), kila mtu aliye kwa ndoa (tupange) (Tupange tupange tupange tupange eeeh) x4 (Tupange familia aaah) x4 VERSE 2 LYRICS: If you need some expertise, enda kliniki, maposta zimejaa kila mahali, Matangazo kila siku kwenye radio, Tv station, magazeti hata kwa nyimbo, (Abortion is a crime and a misuse of your dime, You’re risking your dear life or you stay without a child…)x2 (Chorus) BRIDGE LYRICS: Ye lelele ye lelele leleee…(x2) Tupange family tumalize umaskini, tupange family ndio tulee kwa urahisi, Ye lelele ye lelele leleee…(x2) Uwe kaka au daddy, uwe dada au mummy, t...