Posts

Showing posts from July, 2013

JULIANI - EXPONENTIAL POTENTIAL LYRICS

Image
Milioni from ten bob,nili toa wapi extra zeros Jiulize mbona doughnut ina shimo, shingo short cut ya mfuko Doo ni legal,dish kwa roof top sio ya Dstv, yakuomba dish distinct Vampire vegetarian ,white heads,non believers, wanatuita high class Soma colle juu ya night club, Result slip hai determine pay slip Toka niwe foetus, mpaka penye nimefika, God fingers, imemove strings Walitutharau …ha ha ha Who is Laughing now,exponential potential Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu Who’s laughing now..ha ha ha Nasema ha ha ha ,who’s laughing now Exponential potential,achana nao Toka kitambo nimekuwa photogenic , wazazi waliinsist na story ya photosynthesis Nani hajui udaktari  si lazima uwe mwerevu, kwa karatasi ya dawa hawamalizangi hesabu Ocampo ananeed more ink, more pages, jina zi fit kwa list Si exaggerate ka kufunika puncture na bandage Ndovu haiezi hata ngumi ya mosquito Mimi  si muimportant ,bila mimi mama mboga hata hana custome...

HUSTLAJAY FT PRUDANCE - MINYORORO YA HAKI LYRICS

chorus:kutufumba macho,kutuziba maskio.. kutufunga nyororo....za ukabila...za ubinafsi...za ufisadi twataka haki zetu...twataka haki zetu..(*2) verse:1 kwa ndimi za kujipendekeza..wamefumbwa macho kwa sera za makaburu nakufungu kwenye jela la utumwa  wasione nuru unyimwa matunda ya uhuru nakutozwa ushuru unyanyaswa japo kipato chao duni cha kuwanusuru na kupotezwa watetezi wa haki kwa kuchomewa nguru ufungwa wasiona hatia waliokufuru uwachwa huru wamejazwa kasumba....na fikra potovu za ukoloni mambo leo pasipo kujali masilahi ula rushwa....wakasign mikataba zikapigwa bei raslimali pasipo kujuzwa unyakuliwa mashamba hati miliki ukabithiwa miamba nakuwachwa masquatter wanauguzwa na makashfa wajenzi wa taifa uti wa mgongo nguzo dhabiti kitega uchumi cha nchi  uchumi umezoroteshwa  common man anastruggle ipate kuimarishwa phylosophy ya mnyonge tumsonge bridge: tukidai haki zetu....fungu tunatozwa....*(2)  ohhh fungu tunatozwa........ verse(2) udai maisha bila e...

JULIANI - UTAWALA LYRICS

Hard ku get wadhifa una deserve bila cash ama kashfa hii society kenye wanaeza share ni nyungu ya busa ama kettle ya shisha Mfuko unasikia echo utajua thamani ya mali na size ya kifuli hujaibiwa juu hauna ka kitu worth risking jail time, police bullets for unaeza argue crime doesn't pay lakini huezi dismiss justice ina bei mwizi ana fourty days, 365 days later anaendelea ku grow fatter Do anything for power, ready to loose their head for presidency bora waione kwa currency sababu gani siko affected na turbulance nikifly angani nimezoea the same feeling matatu zikipitia pothole mtaani CHORUS:Niko njaaa hata siezi karanga                            hoehae shaghala bhaghala niko tayari kulipa gharama                         ...