RABBIT - LAST HOPE LYRICS
Chorus (Adreena ) I gotta make it out, or move quickly Can't allow the past to restrict me Bet this time around they won't skip me I am the last hope (Kaka) Won't hesitate not even for a second The hustle has become an obsession I'm on the frontlines with my weapon I am the last hope Verse 1 Nikitoa mangoma na ma video sikuexpect wanisifu/ juu nina lines mob Zebra mia moja zinanionea wivu/ ile kucheq health, nalipa kuona Dokte/ ile kucheck mgreat wanalipa kuniona on stage/ hawaget kile nasema nika bubu anapiga story/ Mungu alishaniandalia, sahii natafuna Glory/ kamba za Eastlando zilinifanya niwe Pusher/ form 2 niliuza bangi, thank God sikuivuta si kucheza na cutlery, nimedungwa daga mara mbili/ si duvet comfy, nimelala ndani mara mingi/ so wewe ukienda gym daily, mimi niliunga akili/ na ni ngumu kuwa mimi, ata mniiibe shairi/ nilikiss mpaka nyuki kuonyesha mimi ni sugu/ nayo nikalearn msemo ya nyuki hapigwi busu/ hizi machozi za umaskin...